Ka Obama Vile! Watu wangu wa Kata ya Lusu...

Sunday, August 8, 2010
Watu wangu wa Kata ya Lusu waliniita Obama...walishangilia kwa bashasha ya hali ya juu lilipotajwa jina langu Dr. Hamisi Kigwangalla a.k.a 'Shimba Ngosha'. Basi nami sikuwaangusha, hakika niliunguruma kama simba dume, nilitoa hotuba ya ukweli iliugusa kila moyo wa mwana Lusu aliyekuwepo pale. 

Nata ilikuwa balaa, mpaka nashindwa kusema neno lolote lile...walinipokeaje?

Isanzu, mh....

2 comments:

Markus Mpangala said...

Yako mambo mengi ya kukuongelea ndugu yetu Dr Hamis, lakini mantiki chanya ninasema hongera kwa kuteuliwa kuwania ubunge kwa tiketi yc chama cha mapinduzi. mani kwenu.

hata hivyo daima naona siasa za tanzania zimepinda sana na mantiki hii ya kupinda inasabaishwa na watu waliopinda kiakili. Lakini tusijali kadiri tuendavyo ndivyo tutakuwa tunabadilika. Pamoja daima ndugu.

hamisi.kigwangalla said...

Pamoja sana kaka Mpangala,
Ahsante sana.

Post a Comment